Jumamosi , 18th Oct , 2014

Staa anayewakilisha poa katika game ya muziki kutoka Morogoro, Afande Sele ambaye pia kwa upande wa pili anajishughulisha na maswala ya kilimo amesema kuwa hatua yake hii ni kutokana na kutambua kuwa kuwepo kwa chakula ndio msingi wa amani ya Taifa.

Afande Sele

Afande Sele amesema kuwa baada ya kuanza shughuli hizi za kilimo, sehemu kubwa ya watu ambao ni mashabiki zake wamekuwa hawamwelewi kutokana na hadhi yake akiwa kama msanii mwenye jina kubwa.

Afande anafunguka zaidi hapa:-