Ijumaa , 13th Aug , 2021

Mtanzania anayeishi nchini Denmark Gamc Wanyatu ni kijana aliyechora tattoo yenye sura ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Pombe Magufuli.

Picha Gamc Wanyatu

Gamc Wanyatu amechora tattoo mbili zenye kuonyesha uzalendo kwa Tanzania moja ya Hayati Magufuli nyingine ni nembo ya Taifa na tattoo zote hizo amechora kwenye mkono na bega lake la kulia.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia zaidi kuhusu tattoo hizo.