Alhamisi , 19th Aug , 2021

Muendelezo wa Bampa to bampa kutoka kwa Alikiba bado unaendela mpaka atakapoachia Album yake mpya ambayo ameahidi kuitoa mwishoni mwa mwezi huu wa 8, 2021.

Picha ya msanii Alikiba

Siku hii ya leo Alikiba ametusanua kwamba ataichia remix ya wimbo wa songi songi aliyoifanya Maud Elka ft Hiro, ambao unafanya vizuri hivi sasa Bongo.

Kupitia akaunti yake ya Twitter Alikiba ameandika kuwa "Here we go, this friday songi songi remix Elka Maud ft King

Mpaka sasa Alikiba ameshaachia ngoma kadhaa kama ndombolo, saluti, na jealous.