
Picha ya Jennier Lopez
J Lo amefunguka hilo akielezea historia ya maisha yake ya mapenzi na wanaume aliowahi kuwa nao baada ya kufanya interview redioni na Howard Stern.
Historia ya mahusiano yake na wapenzi aliodate nao inaonyesha
Alianza kuchumbiwa na David Cruz akiwa na miaka 15 mwaka 1984 - 1994, akaolewa na Ojani Noa 1997 - 1998, akafuata Diddy 1999 - 2001, akaolewa na Cris Judd 2001 - 2003, akachumbiwa na Ben Affleck 2002 - 2004, akaolewa tena Marc Anthony 2004 - 2014, akafuata Casper Smart 2011 - 2016, akaja Alex Rodriguez kumchumbia 2019-2021 na akaolewa tena na Ben Affleck 2022 - 2024.
Kwa sasa msanii huyo ana umri wa miaka 56.