Jumatatu , 20th Nov , 2023

Msanii Baba Levo hawezi kwenda Airport kupokea tuzo 3 za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) alizoshinda Boss wa lebo ya Konde Gang Harmonize kwa sababua anaona ni suala la kitoto.

Picha ya Babe Levo na Harmonize

Baba Levo amesema hivyo baada ya Harmonize kushinda tuzo hizo na kuandaa mapokezi na msafara kutoka Airport mpaka Konde Village atakapowasili Tanzania.

Zaidi tazama hapa kwenye video Baba Levo akizungumzia tuzo hizo za Harmonize.