Picha ndogo ni msanii wa filamu Dokii Wenceslaus
Chanzo cha ugomvi wa maneno hayo ni Dokii Wenceslaus kudai kuwa baadhi ya wanawake waende jikoni kufanya kazi za kwenye msiba na sio kukaa bure kwani hawakuja kuuza sura, kushangaa wala kupaka 'make up' msibani hapo.
Mwanamke huyo alimjibu Dokii Wenceslaus kwamba amekuja kumzika kaka yake Mzee Jengua kwa amani na sio kugombana katikati ya watu pia amesema anaumwa hivyo asingeweza kwenda jikoni.
Zaidi tazama tukio kamili hapa chini kwenye video.




