Jumatatu , 13th Sep , 2021

Mchekeshaji Choloboy Comedian anasema moja ya changamoto aliyokutananayo ni baadhi ya wazazi kumtumia kutishia watoto wao pale anapopita mitaani.

Picha ya mchekeshaji Choloboy Comedian

Mchekeshaji huyo anayetrend kwa sasa mitandaoni kwa style yake ya ndugu waandishi wa habari anasema wazazi hao wanatumia mapungufu ya muonekano wake ili kuwaogopesha watoto wao.

Choloboy ameongeza kusema hali hiyo ilimuumiza sana na kumfanya kuwa na mawazo ila anawashukuru wadau wambao hawajawahi kumjaji au kumtania kuhusu maumbile yake.

Zaidi tazama hapo chini kwenye video.