Jumapili , 24th Dec , 2023

Staa wa muziki Tanzania na Africa Diamond Platnumz akijibu kuhusu suala la kuwafunga mashabiki wanamchafua kwa kumtupia kashfa mitandaoni.

Picha ya Diamond Platnumz

“Ukiniangalia mimi mitandaoni watu wanaweza wakawa wananiongelea sana na mtu mwingine hata simjui anaweza akaibuka akazusha kitu, akaongea uongo na akanitukana nawaacha. Wengine naweza kuwapiga barua za defamation lakini ndio hivyo”.

“Ukishakuwa Celebrity usichukulie vitu personal. Nikiamua kufunga watu nitafunga watu wangapi au kuwapiga barua nitawapiga wangapi” amesema Diamond Platnumz 

Zaidi tazama hapa kwenye video Diamond Platnumz akizungumzia hilo.