Jumapili , 5th Jun , 2022

Ni headlines za msanii Foby Official ambaye ametoka mbio baada ya kuulizwa kuhusu kutaka kumuoa Zuchu kutoka lebo ya WCB.

Picha ya Foby akiwa anakimbia kulia ni msanii Zuchu

Foby ameweka wazi hilo kupitia Instagram yake akielezea hisia zake za mapenzi kwa Zuchu. 

Zaidi tazama tukio hilo hapa kwenye video.