Alhamisi , 29th Jan , 2026

Inaripotiwa muigizaji maarufu wa filamu Jackie Chan tayari ameandaa wimbo wake maalum wa kumuaga akifariki na siku ya mazishi yake.

Muigizaji Jackie Chan

Jambo hilo limekuja baada ya Jackie Chan kutokea kwenye tukio la kwanza la filamu yake Disemba 28,2025 ambapo aliiomba timu yake iandae wimbo huo na akaagiza uachiwe siku atakapoaga dunia.

Staa huyo wa filamu duniani Jackie Chan ameigiza filamu zaidi ya 95 kwenye maisha yake ya Uigizaji.

Unauonaje mtazamo wake huu wa kujiandalia wimbo wake maalum?