Ijumaa , 21st Oct , 2022

Mkongwe wa mziki wa HipHop Bongo Soggy Doggy Anter amemtaja msanii Jux kuwa ndio msanii msafi kuliko wote nchini Tanzania.

Picha ya Jux na Soggy Dogg Anter

Soggy Doggy amesema Jux ni msanii msafi baada ya kukaa naye kwa siku nne mpaka tano na kugudundua msanii huyo anapenda kuoga kila wakati na kunukia.

Zaidi mtazame hapa Soggy Doggy akizungumia usafi huo wa Jux.