Jumanne , 1st Jul , 2025

Mbizo za Mbuzi “The Goat Races” Msimu wa mwaka 2025 zinatarajiwa kufanyika Septemba 20, 2025 katika viwanja vya Farasi,Osterbay, Dar es salaam.

Mwaka huu mbio hizo zina azma ya kuendelea kurejesha kwa jamii kama vile kusaidia wanafunzi wenye uhitaji kupata usaidizi wa elimu “Scholarship”, ujenzi wa miundombinu ya shule na kusaidia kambi za Afya ili kuendelea kuijenga jamii imara zaidi.