Jumatano , 20th Oct , 2021

Baada ya albamu mpya ya King wa Bongo Fleva, Alikiba na kazi za wasanii wengine kuonekana zikiuzwa kiholea mtaani, Katibu wa Chama cha Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania (TUMA) Samwel Mbwana (Bryton) amefunguka kuchukua hatua za haraka ili kuokoa sanaa ya Bongo.

Picha ya Katibu wa Chama cha Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania (TUMA) Samwel Mbwana (kushoto) na Msanii Alikiba (kulia)

 

Sikiliza Full Interview hapa