Akizungumza na mwandishi wetu, Issabela amesema daktari ambaye anamtibia Kabula amesema kuwa rafiki yao alikuwa na msongo wa mawazo, lakini kwa sasa yuko sawa.
Pia Issabela ameweka wazi kile ambacho Watanzania wengi walikuwa hawakifahamu kuhusu ugonjwa na matibabu ya Kabula, na kuhusu mtu ambaye amekamatwa kwa kufanya tukio la uhalifu au uvunjaji wa sheria juu ya Kabula.
Msikilize hapa chini akisimulia tukio hilo.