Alhamisi , 1st Feb , 2024

Staa wa filamu nchini Aunty Ezekiel amemsifia Baba mtoto na mpenzi wake Kusah kwamba anajua kuimbia wanawake.

Picha ya Kusah na Aunty Ezekiel

“Kusah anajua sana kuimbia wanawake, kwahiyo mimi ni shabiki wake kabla hajakuwa mama mtoto wake” amesema Aunty Ezekiel 

Mengine zaidi aliyofunguka Aunty Ezekiel juu ya maisha yake itazame #SalamaNa kupitia EATV kila siku ya Alhamisi kuanzia saa 3:00 usiku.