
msanii wa Mipasho Khadija Kopa akiwa na wanawe
Malkia huyo gwiji wa miondoko hiyo nchini amesema kundi hilo jipya litaufikisha muziki wa Taarab hapa Bongo katika ngazi nyingine ya juu kabisa.
Khadija ameiambia eNewz kuwa, akiwa kama msanii msomi, kundi lake la Ogopa Kopaz litaanza kazi kwa kasi likitanguliwa na ujio wa albam zake mbili 'Mama Mukubwa' na 'Kantangaze'.