Ijumaa , 17th Dec , 2021

Mchekeshaji Mkojani Bin Darueshi amem-surprise mke wake baada ya kumkabidhi funguo za gari mpya aina ya Murano yenye thamani ya Tsh Milioni 20 ikiwa ni siku chache kupita baada ya kufunga ndoa.

Picha ya Mkojani na Mkewe akiwa kwenye gari aliyomzawadia

Mkojani anasema thamani aliyonayo mkewe ni kubwa sana na anajulikana hivyo haitaleta picha nzuri kama watu wakimuona kwenye daladala au bajaji.

Zaidi tazama tukio zima hapa Mkojani akimkabidhi gari hilo mkewe.