Picha ya Mzee wa Mjegeje
"Nilikuwa na mke wangu bahati mbaya maisha yalikuwa magumu, nikaanguka kidogo kifedha nikasema mwanamke sio nyanya wala kitunguu umkatekate umle, ikabidi nimrudishe kwao na nikampa na talaka".
Mzee Mjegeje ameongeza kusema mwanamke huyo alizaa nae mtoto mmoja na sasa hivi ameshaolewa na mwanaume mwingine.




