Picha ya mtangazaji wa Nirvana ya East Africa TV na msanii wa filamu Irene Uwoya
Irene Uwoya anasema yeye sio mtu wa kuweka sana gharama anazotumia lakini kuhusu viatu anaweza kununua hata kwa Milioni 10.
Staa wa filamu Irene Uwoya sio mvivu kwenye kutumia pesa zake kupendeza, ameiambia Nirvana ya East Africa TV kwamba anaweza kununua hata kiatu kwa Tsh Milioni 10 na wala hajali.