Picha ya msanii Barbie Mia
Barbie Mia amesema hata yeye ana tattoo 9 kwenye mwili wake pia ana hadi tattoo ambayo amemchora mpenzi wake sehemu za siri.
Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia hilo.
Member wa kundi la 'Female Gang' Barbiemia amesema anavutiwa na anawapenda wanaume ambao wana aina za michoro 'Tattoo' kwenye miili yao.