Picha ya Rais Trump kushoto na msanii Bad Bunny
Rais Trump anasema kwa ukubwa wa Marekani ni dharau kuona kilichofanyika Super Bowl sababu show ilikosa ubunifu, ubora, viwango na uwakilishi wa mafanikio yao.
Pia ameongeza kusema hakuna mtu aliyekuwa anaelewa anachoimba rapa huyo Bad Bunny kutoka Puerto Rico pia dancers walichukiza sana stejini.




