Jumatano , 15th Sep , 2021

Rapa Rapcha ameifafanua line yake inayosema 'Mwambie father atalipwa na mola, arudishe moyo nyuma amsamehe Paula' ambayo inapatikana kwenye wimbo wake wa Lissa part 2.

Picha ya msanii Rapcha kushoto, kulia ni Paula

Rapcha anasema ametumia line hiyo kwa kuangalia kitu kinachomsumbua Producer P Funk Majani kama kuhusisihwa na drama kwenye mitandao ya kijamii ndio maana amemuomba asamehe ili maisha mengine yaendelee.

Zaidi tazama hapa chini kwenye video