Jumatatu , 11th Apr , 2022

Siku ya Ijumaa Harmonize alishea video akifundishwa mchezo wa ngumi huku akitaka mtu yeyote mwenye matatizo naye binafsi basi wakamalizane ulingoni.

Picha ya Rhino King kushoto, kulia ni Harmonize

Leo msanii Rhino King kupitia page yake ya Instagram amemjibu Harmonize kwamba yupo tayari kwa pambano hilo.

"Ulitangaza nakujigamba kwamba uko fiti na unataka pambano na yeyote kwenye game, niko hapa Tyson Faru, tayari kabisa kwa pambano na wewe kivyovyote. Tangaza tarehe uliemtaka umeshampata no excuses please nishakutamani" ameandika Rhino King

Zaidi tazama hapa kwenye video.