Jumapili , 7th Nov , 2021

Baada ya comments nyingi za mashabiki mitandaoni kumtaka Shilole apunguze mwili wake huenda zikawa zimemuingia staa huyo, kwani sasa hivi anatafuta mwalimu wa mazoezi na yupo kurudi gym.

Picha ya msanii Shilole

Shilole ametoa taarifa hiyo kupitia page yake ya Instagram kwa kupost picha yake ya zamani kabla hajakuwa na mwili mkubwa kisha akaandika,

"Je umemjua huyo binti hapo, kama ndio basi kakubali kurudi gym na anataka traina wa kumfata kwake malipo sio shida, kikubwa mazoezi yawe standard sio kokomoana maana walimu wengine khaaaaa"