
Picha ya msanii Badest 47
"Tuzo ni heshima huwa zinapandisha value kwa msanii kwa hiyo lazima bei na vitu vingine vipande hata mimi bei zangu zimeongezeka. Nadhani hii ni kwa kila msanii unavyopanda thamani ndio bei yako ya kukodiwa kwenye show inazidi kuwa kubwa" amesema Badest 47
Chanzo : Planet Bongo ya East Africa Radio.