Picha ya Mr II Sugu
Sugu amejibu hilo kwenye 'Punchline' ya wimbo wake mpya wa taita aliomshirikisha @billnass ambapo unasema
"Sina waganga kwangu Mungu ndio muumba, kumbuka wadangaji wa Insta waliposema wife wangu mgumba, hatukuwajibu tukawajibu kwa mimba, leo tuna watoto wanagawana vyumba kwenye mjumba".





