
Muigizaji wa filamu nchini, Irene Uwoya.
Irene Uwoya ambaye ameamua kuweka wazi vitu mbalimbali usivyovijua katika maisha yake amesema kuwa wanaume wenye sura mbaya ni kati ya watu ambao huwa wanamuhamasisha sana kwenye mapenzi na kudai yeye havutiwi kabisa na watu wenye sura nzuri.
"Kitu ambacho hamkijui kuhusu mimi ni kuwa sijawahi kuvutiwa na wanaume wenye muonekano mzuri, sielewi ni kwanini lakini wanaume wenye sura mbaya huwa wanaamsha hisia zangu za kimapenzi" alisema Irene Uwoya.