
Young Suma
Young Suma amesema kuwa, hatua hii imefikiwa baada ya yeye na uongozi wake kukaa na kujadili na kuona kuwa, ni busara kuwatendea haki mashabiki kwa kuirudisha kazi hii jikoni, hatua ambayo sasa inaendelea ili kuifanya ifikie kiwango chake.