Timu ya Namthamini yawasili jijini Arusha

Jumanne , 30th Jul , 2019

Timu ya Namthamini kutoka East Africa Television na East Africa Radio ilipowasili jijini Arusha tayari kwa kuanza zoezi la ugawaji wa taulo za kike katika mikoa ya Arusha na Manyara.

Watangazaji na wafanyakazi wengine wa East Africa Television na East Africa Radio.