Jumatatu , 27th Apr , 2026

Elon Musk amezindua X-Chat mpinzani mpya wa WhatsApp.

Hivi ndivyo unapaswa kujua:

- Huitaji Namba ya Simu, unaweza kutumia akaunti yako ya X (Twitter) tu kuanza ku-chat.

- Ina Encryption ya hali ya juu hakuna anayesoma ujumbe wako (ni kati ya mtumaji na mpokeaji pekee)

- Inazuia Screenshots na unaweza kuweka ujumbe ujifute wenyewe baada ya dakika 5. (Ni kama view once iliyoboreshwa)

- Safi kabisa, haina matangazo si unajua WhatsApp sasa hivi matangazo ni mengi.

- Inachukua hadi watu 481 kwa sasa, imezidiwa kidogo na WhatsApp kwani yenyewe inachukua watu 500
Sema bye-bye kwa kutoa namba yako ya simu kwa kila mtu, tukutane X-chat itaweza kupambana na WhatsApp acha liendee kubaki kama swali..