Alhamisi , 30th Jan , 2020

Wakati Dunia inaendelea kuomboleza kifo cha mkongwe wa mchezo wa basketball, Kobe Bryant na mwanaye wa kike Gianna Bryant, Mke wa mchezaji huyo Vanessa Bryant amevunja ukimya kwa mara ya kwanza baada ya kueleza mazito.

Picha ya Kobe Bryant na mkewe Vanessa Bryant

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Vanessa Bryant, ameandika maelezo mazito na kuonyesha hisia kali kuhusiana na kifo cha mumewe na mtoto wake.

"Mimi na wanangu tunataka kuwashukuru watu wote waliotupa sapoti na kuonyesha upendo katiki kipindi hiki kigumu, ahsanteni kwa maombi yenu japo tulikuwa tunawahitaji sana, tumeumia  kumpoteza mume wangu ambaye alikuwa baba bora kwa watoto wake wote wanne, pamoja na mwanangu wa kike" ameandika mke wa Kobe Bryant.

"Hakuna maneno ya kutosha kueleza kiasi gani ambavyo tuna maumivu kwa sasa, sisi kama familia tuna majonzi na tunasikitika kwa kuwapoteza, itakuwa ni ngumu kuendeleza maisha bila ya uwepo wao" ameongeza.

Kobe Bryant na mwanaye wa kike Gianna, na wengine saba walipata ajali ya helikopta na kupoteza uhai wao siku ya Januari 26, 2020.

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

My girls and I want to thank the millions of people who’ve shown support and love during this horrific time. Thank you for all the prayers. We definitely need them. We are completely devastated by the sudden loss of my adoring husband, Kobe — the amazing father of our children; and my beautiful, sweet Gianna — a loving, thoughtful, and wonderful daughter, and amazing sister to Natalia, Bianka, and Capri. We are also devastated for the families who lost their loved ones on Sunday, and we share in their grief intimately. There aren’t enough words to describe our pain right now. I take comfort in knowing that Kobe and Gigi both knew that they were so deeply loved. We were so incredibly blessed to have them in our lives. I wish they were here with us forever. They were our beautiful blessings taken from us too soon. I’m not sure what our lives hold beyond today, and it’s impossible to imagine life without them. But we wake up each day, trying to keep pushing because Kobe, and our baby girl, Gigi, are shining on us to light the way. Our love for them is endless — and that’s to say, immeasurable. I just wish I could hug them, kiss them and bless them. Have them here with us, forever. Thank you for sharing your joy, your grief and your support with us. We ask that you grant us the respect and privacy we will need to navigate this new reality. To honor our Team Mamba family, the Mamba Sports Foundation has set up the MambaOnThree Fund to help support the other families affected by this tragedy. To donate, please go to MambaOnThree.org. To further Kobe and Gianna’s legacy in youth sports, please visit MambaSportsFoundation.org. Thank you so much for lifting us up in your prayers, and for loving Kobe, Gigi, Natalia, Bianka, Capri and me. #Mamba #Mambacita #GirlsDad #DaddysGirls #Family

A post shared by Vanessa Bryant (@vanessabryant) on