
Haji Manara na Mhe. Jerry Muro
"Ameanza tumpe muda naamini atafanya vizuri kama amekuja kwa nia ya dhati, na kama amekuja kwa hasira itatusaidia kutusogeza na pale hasira itakapoisha huenda akarudi alikotoka", amesema Mhe. Muro.
"Kila mtu anajua Haji ni do or die mwanachama wa Simba, Haji siyo mwanachama wa Yanga amekuja kutafuta riziki au mkate wake", ameongeza.