(Harry Kane akishangilia goli dhidi ya Everton)
Mshambulizi huyo wa spurs sasa amefunga jumla ya mabao 176 ya ligi kuu ya England na kupanda hadi nafasi ya sita katika orodha ya wafungaji bora wa muda wote, akiwa nyuma ya kocha wa sasa wa Everton Frank Lampard, aliye nafasi ya tano akiwa na magoli 177, Sergio Kun Aguero akiwa nafasi ya nne na magoli 184, Andy Cole yuko nafasi ya tatu akiwa na mgoli 187, Wyne Roone nafasi ya pili akiwa amefunga magoli 208, na mfungaji bowa muda wote wa ligi hiyo anayeongoza hadi sasa ni Alan Shearer mwenye magoli 260.
Ushindi huo wa Spurs umewafanya kufufua matumaini yao ya kumaliza kwenye nafasi nne za juu kwa kufikisha alama 45 na michezo miwili kibindoni utofauti wa alama 3 na Arsenal iliyopo nafasi ya nne ikiwa na alama 48 na michezo mitatu mkononi.





.jpg?itok=5cvL0YaP)