Jumatatu , 20th Oct , 2025

Katika mahojiano yake na Steven Bartlett (The Diary of a CEO), kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, aliulizwa kuhusu uwezekano wa yeye kurudi kuifundisha timu hiyo siku za usoni.

Steven: Unadhani unaweza kurudi kuifundisha Liverpool? Je, uwezekano huo upo?

Klopp: “Nilisema sitawahi kufundisha klabu nyingine yoyote England. Hilo halitatokea. Lakini kama ni Liverpool, uwezekano upo.”

Chanzo: DOAC