
Wayne Rooney (Kulia) alipokua akikabidhiwa jezi namba 8 na aliyekua Kocha wake Sir Alex Ferguson wakati akijiunga na Manchester United mwaka 2004.
MAFANIKIO YAKE NDANI YA MAN UNITED
-Mechi 559 bao 253
-EPL Mechi 393 bao 183
-Mataji wa EPL 5 -Msimu wa 2006/07,2007/08,2008/09,2010/11,na 2012/13
-Ligi ya Mabingwa Ulaya 1-2007/08
-FIFA World Cup-2008
-Uefa Europa League 1-2016/17
-FA Cup -2015/16
-FA Community Shield-2007,2010,2011,2016.
-League Cup-3
REKODI BINAFSI
-Mfungaji bora wa muda wote wa Manchester United Bao-253
-Mfungaji bora wa muda wote wa England bao -53
-Mfungaji bora wa muda wote wa mabao ya Ugenini ya EPL-94
-Mchezaji aliyefunga mabao mengi ya EPL akiwa na Timu moja-183
-Mchezaji bora wa msimu wa 2009/10.
Aliondoka Manchester United mwaka 2017, na mpaka leo imebaki historia.