
6. Milos Kerkez
7. Florian Wirtz
12. Conor Bradley
22. Hugo Ekitike
25. Giorgi Mamardashvili
28. Freddie Woodman
30. Jeremie Frimpong
41. Ármin Pésci
42. Trey Nyoni
Je, Rio Ngumoha bado atasalia na jezi namba 73? Jibu ni ndiyo kwa sababu kwa sasa hana mkataba kama mchezaji kamili wa Liverpool kila kinachomuhusu mchezaji huyo kipo chini ya wazazi wake, Rio atapewa namba mpya pale ambapo atatimiza miaka 18.