
Msanii Aslay
Chambuso amepiga stori na eNewz na kuweka wazi kuwa Zest ni ndugu yao na wameshapanga kukutana na kuongelea malipo hayo.
Chambuso pia ameongelea skendo ya Aslay kutumia pombe kupita kiasi na kusema jambo hilo sio la kweli bali ni namna tu Aslay alivyo mpole na mtulivu kwahiyo watu wakimwona hivyo wanadhani amekulewa.
Zest alitengeneza midundo ya ngoma nyingi za Aslay tangu alipotoka kwenye kundi la Yamoto Band na kuanza kufanya muziki wa solo akianza kutoa ngoma ya 'Angekuona'.
Zaidi tazama hapo chini.