Msanii wa Singeli Sholo Mwamba
Hii imetokea kwenye show maalum ya msanii Ibraah TZ iliyopewa jina la 'Chinga Day' iliyofayika uwanja wa Mbagala Zakheim ambapo kulikuwa na 'surprise' ya wasanii kibao wa BongoFleva, HipHop na Singeli.
Ila kitu ambacho amekifanya msanii Sholo Mwamba itabaki kuwa historia maana amefunika wasanii wote walitumbuiza kwenye show hiyo ambayo ilikuwa inaangaliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ndiyo alikuwa mgeni rasmi.
Zaidi tazama hapa chini kwenye video.