Jumatatu , 9th Aug , 2021

Nyota wa klabu ya Azam, Prince Dube amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu mwishoni mwa wiki huko nyumbani kwao Zimbabwe.

Picha ya pamoja Mchezaji Prince Dube na Mke wake

Mchezaji huyo ametumia muda huu wa mapumziko kuvuta jiko kabla ya kurudi kambini kujiunga na wachezaji wenzake kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi.