
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila
Wakati huo pia Wakuu wa Wilaya Tano za Mkoa wa Simiyu pamoja na Kamati zao za Ulinzi na Usalama, wameagizwa kuimarisha mikakati ya kudhibiti hujuma na ufisadi katika mauzo ya pamba, msimu huu wa kilimo 2021/2022, ili kumlinda mkulima dhidi ya dhuruma.
Tazama video hapo chini