Ijumaa , 12th Mei , 2023

Daktari wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini Bernard Membe, ameondoa sintofahamu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe na kusema hajauawa bali kifo chake kimetokana na maambukizi ya ghafla ya mapafu yaliyopelekea damu kuganda.

Bernard Membe enzi za uhai wake

Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 12, 2023, muda mfupi baada ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe kutokea, katika hospitali ya Kumbukumbu ya Hubert Kairuki Dar es Salaam.

Tazama video hapa chini