Pablo afunguka hali ya kikosi Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema kikosi kipo katika hali nzuri kuelekea mchezo wa Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Read more about Pablo afunguka hali ya kikosi