Jaylen,Tatum waiongoza Celtics kushinda game 5 NBA

Jaylen Brown amefunga alama 25 amechukua Rebound 4

Jaylen Brown na Jason Tatum waiongoza Boston Celtics kushinda mchezo wa 3 wa fainali ya NBA kanda ya mashariki kwa kuifunga Miami Heat kwa alama 93 kwa 80 kwenye mchezo wa 5 kati ya michezo 7 ya fainali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS