Shabiki atoka Mbeya kumletea Mbuzi Harmonize Picha shabiki aliyemletea Mbuzi Harmonize Shabiki wa Harmonize August Thomas amefunga safari ya kutoka Mbeya mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya kumletea zawadi ya mbuzi msanii huyo. Read more about Shabiki atoka Mbeya kumletea Mbuzi Harmonize