"Sugu ametu-inspire sana" - AY Picha ya AY kushoto na Mr II Sugu kulia Mzee wa commercial AY ametoa credit zake kwa msanii Joseph Mbilinyi Mr II Sugu baada ya kusema amewa-inspire sana kufanya mziki na vitu vingine. Read more about "Sugu ametu-inspire sana" - AY