Dulla Makabila afunguka kuwapiga misumari wenzake Picha ya Dulla Makabila Mkali wa mziki wa Singeli Dulla Makabila anasema yeye ndio msanii wa singeli aliyekaa kwa muda mrefu kwenye game tofauti na wasanii wengine wanaotamba kwa muda mfupi na kupotea. Read more about Dulla Makabila afunguka kuwapiga misumari wenzake