RC Hapi atoa miezi miwili kwa mgodi wa Cata
Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi ametoa miezi miwili kwa Mgodi wa dhahabu wa Cata Mining uliopo wilayani Butiama kulipa makato ya wafanyakazi kwa Shirika la NSSF Jumla ya shilingi Bilioni 2.9 pamoja na Mgodi huo kulipa fedha za huduma ya Jamii (CSR) kwa halmashauri kwani malipo hayo yapo ki