"Haya ni mahaba mazito sana" - Waziri Aweso Waziri wa Maji Jumaa Aweso, akiwa na wake zake Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amesema kwamba ushirikiano anaopewa na wake zake wawili hauoneshi tu kama ni mapenzi bali ni mahaba mazito na kwamba hata kuchakarika kwake kunatokana na ukaribu wao kwake. Read more about "Haya ni mahaba mazito sana" - Waziri Aweso