Kesi ya Zumaridi yakosa ukumbi wa kuendeshewa

Diana Bundala maarufu kama mfalme Zumaridi.

Diana Bundala maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake 84 ambao wanakabiliwa na kosa la kufanya mkusanyiko usio rasmi, leo hii wamekwama kusomewa maelezo ya awali ya kosa hilo baada ya kukosa ukumbi wa kuendeshea kesi hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS