Majaliwa apokea taarifa ya nyongeza ya mishahara
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya mapendekezo ya ongezeko la mishahara ya watumishi kutoka kwa timu ya wataalamu iliyokuwa ikiyaandaa kwa ajili ya kuiwasilisha kwa Rais Samia Suluhu Hassan.